Advertisements
RSS

DR. Hamisi Kigwangala (MOHSW) Aongoza Matembezi ya “KUTOA AHADI YA UWIANO SAWA WA KIJINSIA”

08 Mar
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee naWatoto, Mh. Hamisi Kigwangala akijiandaa kuanza matembezi ya shamrashamra za kuelekea  siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi  yaliyofanyika jijini Dar es Salaam mapema leo . Matembezi hayo yaliyoandaliwa na  Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) yenye kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee naWatoto, Mh. Hamisi Kigwangala akiwa sambamba na washiriki wa matembezi ya shamrashamra za kuelekea  siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi  yaliyofanyika jijini Dar es Salaam mapema leo . Matembezi hayo yaliyoandaliwa na  Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) yenye kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia.
Mwenyekiti wa Tanzania Women of Achievement , Sadaka Gandi akiongea na washiriki wa matembezi ya shamrashamra za kuelekea  siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi  yaliyofanyika jijini Dar es Salaam mapema leo . Matembezi hayo yaliyoandaliwa na  Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) yenye kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia.
 
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee naWatoto, Mh. Hamisi Kigwangala akiongea na washiriki wa matembezi ya shamrashamra za kuelekea  siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi  yaliyofanyika jijini Dar es Salaam mapema leo . Matembezi hayo yaliyoandaliwa na  Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) yenye kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee naWatoto, Mh. Hamisi Kigwangala akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya washirikimatembezi ya shamrashamra za kuelekea  siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi  yaliyofanyika jijini Dar es Salaam mapema leo . Matembezi hayo yaliyoandaliwa na  Taasisi ya Tanzania women of Achievement(TWA) yenye kauli mbiu ya Kutoa uwiano sawa kijinsia.
 
 
 
 
Advertisements
 
1 Comment

Posted by on March 8, 2016 in General Knowledge

 

Tags: , , , , ,

One response to “DR. Hamisi Kigwangala (MOHSW) Aongoza Matembezi ya “KUTOA AHADI YA UWIANO SAWA WA KIJINSIA”

 1. Mohamed Janabi

  March 8, 2016 at 11:45 am

  1: http://www.habari5.com/component/k2/item/12253-mabalozi-wawatembelea-watoto-waliofanyiwa-upasuaji-wa-moyo-jkci

  2: MABALOZI WAWATEMBELEA WATOTO WALIOFANYIWA UPASUAJI KATIKA TAASISI YA MOYO YA (JKCI)

  3: MICHUZI BLOG: MABALOZI NA UPASUAJI WA MOYO WATEMBELEA Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam

  Monica tuweke kwenye ramani JKCI

  2016-03-08 10:35 GMT+03:00 MonFinance Blog :

  > monfinance posted: ” Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, > Wazee naWatoto, Mh. Hamisi Kigwangala akijiandaa kuanza matembezi ya > shamrashamra za kuelekea siku ya wanawake dunia Tarehe 8 Machi > yaliyofanyika jijini Dar es Salaam mapema leo . Matembezi hayo ya” >

   

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

 
%d bloggers like this: