RSS

Category Archives: Uncategorized

BUSINESS TERM: Sleeping Beauty

BUSINESS TERM: Sleeping Beauty

DEFINITION of ‘Sleeping Beauty’ in Finance:

A company that is considered prime for takeover, but has not yet been approached by an acquiring company. A company may be considered a sleeping beauty for a variety of reasons, including large cash reserves, undervalued real estate, undervalued share price, attractive assets or strong growth and earnings potential. A takeover, or acquisition, is typically characterized by the purchase of a smaller company by a larger firm. The acquiring company generally offers a cash price per share, thereby purchasing the target outright for its own shareholders.

In relation to mergers and acquisitions (M&A), a sleeping beauty is a company that is “sleeping;” that is, one that is ripe for takeover to achieve its full potential. A sleeping beauty might be a new company that has great potential but has not yet been noticed, or it could be an established company that has not been managed well, and is therefore not maximizing its potential. A sleeping beauty essentially lies in wait until a takeover occurs, at which point the company theoretically would be able to live up to its potential.

Gain the Financial Knowledge you Need to Succeed by Subscribing to our Blog Posts.

 
1 Comment

Posted by on October 19, 2015 in Uncategorized

 

A CALL TO ACTION: JOIN THE AGIP MOVEMENT

A CALL TO ACTION: JOIN THE AGIP MOVEMENT

If you think the politics of your country needs to change – and I know many of you share this desire strongly – stop the paralysis analysis and do something. Join the AGIP movement and support your government. There is an unwritten rule in business that bad people chase away good people, and the reverse is also true.

We need a better future for our children and the next generation. The late Lee Kuan Yew of Singapore moved his country from a third world to a first world country in one generation . Lets do it !

WHAT IS AGIP:

AGIP (Any Government in Power) will be an entity of well respected, well-to-do and reputable business and civic leaders whose primary objective for existence will be to support any government in power.

AGIP will be interested in good governance, prosperity, and creating an enabling environment for investments and social development. Members will have interests to protect but these will be by and large interests that should align with the next generation.

WHO IS AGIP:
AGIP is a lobby group comprising a country’s finest men and women who have too much to lose if the government becomes dysfunctional.

This group’s sole purpose is to support government initiatives by providing a platform for strategic conversations between government and the private sector, including challenging policies and programs the same way shareholders would challenge management in the private sector.

Each country in Africa will endeavor to build up a minimum of one hundred thousand active AGIP members in and these should be well-meaning, enlightened and high-calibre members of society who are fed up with mediocrity and the cancer brought on by corruption and inexperienced leadership.

JOIN US

 
Leave a comment

Posted by on October 7, 2015 in General Knowledge, Uncategorized

 

Tags: , , ,

The Indian Real Estate Bubble

The housing bubble burst of US in the year 2008 took the entire global economy by storm, leading most of the nations into recession. The after effects of the burst are so adverse that the world still hasn’t recovered from the shocks of 2008. With the prices of real estate going down significantly in India in the recent past, the Indian real estate bubble that has been inflating for over a decade is heading towards a burst and has the potential to dwindle the entire economy and wreak havoc.
What is a real estate bubble?

An increase in the prices of the real estate which is primarily driven by either demand or speculation is followed by an increase in the supply. At this point, in order to profit from the increasing demand and rising prices, the speculators enter the market and put huge amount of money into the system. But since this kind of demand is unsustainable in the long run which either decreases or stagnates, having the same supply, leading to massive drop in prices. This is called as a burst in the bubble.

CLICK BELOW TO READ MORE:
Source: The Indian Real Estate Bubble

 
 

Flaviana Matata ateuliwa kuwa Balozi wa hiyari wa Utalii Tanzania.‏

flavy

Dr Adelhelm James Meru akimkabidhi Flaviana Matata barua ya kuchaguliwa kwake huku kaimu Mkurugenzi Devota Mdachi akishuhudia, katika ofisi za wizara hiyoFlaviana matata

Mwanamitindo wa Kimataifa anaefanyia kazi zake za nchini Marekani Flaviana Matata amechagulia na Wizara ya Maliasili kuwa Balozi wa Hiyari ‘Good Will Ambassador’ kwa kipindi cha miaka mitatu kwa dhumuni la kutangaza vivutio vya utalii vya Tanzania ndani na nje ya nchi.

Flaviana ambaye juzi alikuwa mmoja kati ya shuhuda wa kushuhudia wizara ya maliasili na utalii wakizindua rasmi tangazo litakalokuwa linatangaza vivutio vya Tanzania nje ya anchi alitawazwa leo hii na katibu mkuu Dr Adelhelm James Meru aliyemkabidhi kwa niaba ya Waziri , Mheshimiwa Lazaro Nyalandu huku Kaimu Mkurugenzi Madam Devota Mdachi akishuhudia.

Habari na Picha Kwa niaba ya 8020FashionBlog

 
Leave a comment

Posted by on September 8, 2015 in Tanzania News, Uncategorized

 

Benki ya Covenant yapata faida bil. 1.4‏

BENKI ya Covenant imetangaza kupata faida kubwa katika kipindi cha utoaji
wa huduma inayofikia shilingi bilioni 1.4 hadi Juni mwaka huu.

Mkurugenzi Mtendaji wa Covenant Bank, Sabetha Mwambenja

Mkurugenzi Mtendaji wa Covenant Bank, Sabetha Mwambenja

Hayo yamo kwenye taarifa iliyotolewa leo (Jumanne) wakati benki hiyo inasheherekea miaka mitatu ya utoaji wa huduma kwa wateja nchini.

Mkurugenzi Mtendaji wa Covenant Bank, Sabetha Mwambenja amesema wakati anazungumza na wakurugenzi wa Bodi, wafanyakazi na waandishi wa habari kuwa, wamepata mafanikio makubwa katika kipindi kifupi kutokana na aina ya huduma
wanazotoa.

Mwambenja amesema, mafanikio hayo ni zaidi na matarajioya Benki Kuu ambayo iliamini
benki hiyo itaanza kutengeneza faidi baada ya miaka mitatu.

Amesema kuanzia Juni mwaka jana hadi Juni mwaka huu, pato la benki limeongezeka kutoka shilingi milioni 951 hadi kufikia shilingi bilioni 2.9.

Faida imeongezeka kutoka shilingi milioni tano hadi shilingi bilioni 1.4. Amana ilikuwa Sh bilioni 10.2 na imefikia Sh bilioni 13.4.

“Fedha za wahisani zimeongezeka kufikia Sh bilioni 2.23 licha ya mtaji huo kutumika katika
uanzishaji wa benki na hasara ya Sh milioni 500 iliyopatikana katika mwaka wa kwanza wa huduma,” alisema Mwambenja.

Alisema mafanikio hayo yametokana na ubora wa huduma ambazo zimebuniwa na kuwa benki ya kwanza kutoa aina ya huduma za kipekee kwa kulenga Watanzania
ambao wako katika sekta zisizo rasmi.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya benki hiyo, Balozi Salome Sijaona,
amempongeza Mkurugenzi na wafanyakazi wa benki hiyo kwa kufanya kazi kwa bidii.

Amesema, bodi inatambua mchango wa wafanyakazi hao na kuendelea kuboresha masilahi
yao, huku akisisitiza kuwa benki itaendelea kulenga Watanzania wasio katika sekta rasmi.

 
Leave a comment

Posted by on September 1, 2015 in Uncategorized

 

Tags: , , , ,

KONGAMANO LA WIKI YA HUDUMA ZA KIFEDHA NA UWEKEZAJI KUFANYIKA AGOSTI 28-30, 2015 JIJINI DAR ES SALAAM

 Meneja Mauzo na Masoko wa Kampuni ya Nuebrand EC, Cathreen Bukuku (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu kongamano la wiki ya  huduma za kifedha na uwekezaji litakalofanyika Agosti 28 hadi 30 mwaka huu, viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkufunzi na Mratibu wa Mipango wa Kampuni hiyo, Daniel Wadelanga. Kongamano hilo limeandaliwa na Kampuni ya Nuebrand EC.
 Mjumbe wa Timu ya Mauzo wa Benki ya Uba United Bank for Africa, Tesha Filemon (katikati), akizungumza katika mkutano huo  kuhusu kazi mbalimbali zinazofanywa na benki hiyo.
 Meneja wa Tawi la Kariakoo wa Benki ya The Peoples Bank of Zanzibar Ltd, Badru Idd (wa pili kushoto), akizungumza katika mkutano huo kuhusu benki hiyo na matawi yake.
 Ofisa Usanifu Bidhaa na Usimamizi wa Sharia Amana Benki, Jaffari Kesowani (kulia), akizungumza na wanahabari kuhusu kazi mbalimbali zinazohusiana na na benki hiyo.
 Mkuu wa Mauzo na Usambazaji wa Jubilee Life Insurance, Adam Samson Namuhisa (kushoto), akizungumza katika mkutano huo.
 Msimamizi wa Masoko wa Kampuni ya Avic Town, Daniel Kure (kulia), akielezea kadhi kadhaa zinazofanywa na kampuni hiyo katika mkutano huo. Kushoto ni maofisa wa kampuni hiyo.
 Meneja Masoko na Uhusiano wa Kampuni ya  Covenant Bank, Mhina Semwenda (kulia), akizungumzia shughuli zinazofanywa na benki hiyo.
 Wadau mbalimbali kutoka taasisi za kifedha wakiwa 
kwenye mkutano huo.
Mmoja wa wanufaika na makongamano hayo yanayotolewa na  Kampuni hiyo ya Nuebrand EC, Alphonce Mkubwa kutoka Mbeya akieleza faida ya makongamano hayo aliyoshiriki kwa zaidi ya miaka mitano sasa.
 
 
TAFITI zinaonesha asilimia kubwa ya watu hawatumii njia zilizo rasmi za kifedha kutokana na kukosa elimu ya masuala ya kifedha na uwekezaji.
 
Hayo yamesemwa Dar es Salaam leo na Meneja Mauzo na Masoko wa Kampuni ya Nuebrand, Cathreen Bukuku wakati akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kuhusu kongamano la wiki ya  huduma za kifedha na uwekezaji litakalofanyika Agosti 28 hadi 30 mwaka huu, viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam ambalo litahusisha watu wote, wawe wajasiriamali au si mjasiriamali una biashara au huna na wawekezaji wote ambapo washiriki watatoa kiingilio cha ada sh. 2000/- kwa ajili ya kushiriki kongamano hilo ambapo watapata cheti cha ushiriki,”alisema Bukuku.
 
Alisema lengo la kongamano hilo ni kuweka uelewa katika masuala ya kifedha kwani watanzania wengi wamekuwa hawatumii njia zilizosalama na rasmi za kifedha katika uwekaji, akiba na kutengeneza mazingira kuhusiana na huduma za kibenki pamoja na ujasiriamali.
 
Bukuku alisema washiriki watapata elimu ya uelewa wa bima mbalimbali kama za maisha, afya na bima ya mali, kupata elimu ya jinsi ya kuandaa mchamganuo mzuri wa biashara, kujifunza ujuzi mbalimbali na kupata fursa ya kushiriki katika shindano la kuandaa mchanganuo wa biashara ambapo atashinda fedha itakayomsaidia kuanzisha au kuendeleza biashara yake.
 
 Mkuu wa Mauzo na Usambazaji wa Jubilee Life Insurance, Adam Samson Namuhisa,  alisema lengo lao ni kutoa elimu ya bima za maisha kwa watanzania na kujua haki zao pamoja na kujua fursa zilizopo huku mshiriki akipata huduma myimgi kwa wakati mmoja.
 
Mshindi wa kongamano hilo msimu uliopita, Alphonce Mkubwa aliwataka vijana kujitokeza kushiriki ili wapate elimu ya kufanya biashara ili wapate mafanikio,” Nilikuwa mshindi katika kutoa wazo la biashara ambapo nilishinda zabuni ya ukusanyaji ushuru katika halmashauri ya Wilaya ya Chunya…huu ni muda wa kufanya kazi kwani huu ni ukombozi kwa kutokukaa kijiweni,”alisema Mkubwa.  
Picha na Dotto Mwaibale
 
Leave a comment

Posted by on August 26, 2015 in Uncategorized

 

Tags: , , ,

CHAGUA TIGO PESA

 Mkuu wa wa Kitengo cha Huduma za Kifedha wa Tigo, Ruan Swanepoel (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi katika uzinduzi wa kampeni ya  Chagua Tigo Pesa, Inalipa. Kulia ni Meneja  Chapa wa Tigo, William Mpinga.
 Meneja  Chapa wa Tigo, William Mpinga (kulia), akizungumza katika uzinduzi huo. Kushoto ni Mkuu wa wa Kitengo cha Huduma za Kifedha wa Tigo, Ruan Swanepoel.
Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.
 
Na Dotto Mwaibale
 
KAMPUNI ya simu ya mkononi ya tigo Tanzania imezindua Kampeni iitwayo”chagua tigo pesa,inalipa”ikiwa na lengo na la kuongeza upatikanaji wa fedha kwa njia ya simu ya mkononi kwa wateja.
 
Akizungumza Dar es Salaam leo asubuhi Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kifedha wa Tigo Ruan Swanepoel alisema huduma hiyo ikiwa na muonekano mpya na sura kwa wateja wake wanaotumia huduma ya tigo pesa Tanzania nzima.
 
Alisema kuwa kwasasa mtandao wa tigo umeenea kwa wingi hapa nchini na unatumiwa na asilimia 90 ya wananchi wote wanaomiliki simu za mkononi.
 
Alisema kuwa mtandao wa tigo unakikisha inatoa huduma stahiki kwa wateja wakena kuhakikisha huduma ya tigo pesa inazidi kuwa na huduma pendwa kwa sababuinapatikana kirahisi na makini.
 
Alisema kuwa huduma hii inalipa kwa wateja wake na kukopa fedha hasa kwa wale wenye kipato kidogo na wasio na huduma za kibenki.
 
Alifafanua kuwa wateja wa tigo pesa watanufaika na kampeni hii kwa kuypata vifurushi vya bure kila wannunuapo bidhaa na kulipia kwa tigo pesa kutoka kwa wauzaji waliosajiliwa.
 
Pia aliongeza na kusema kuwa wateja watapata riba kila baada ya miezi mitatu kulingana na kiasi cha fedha ya kifurushi ambacho mteja atamnunulia mtu mwingine kwa tigo pesa.
 
Leave a comment

Posted by on August 26, 2015 in Uncategorized

 
 
%d bloggers like this: